WALENGWA NI KUANZIA:Wahitimu Elimu ya Msingi/Sekondari /Watu wazima na watu kutoka katika taasisi mbalimbali wanaohitaji kujiendeleza katika fani hii (KWA JINSIA ZOTE)
KOZI ZITOLEWAZO NI:
A. Umekenika (MV. Mechanics) katika vitendo na (Nadharia)
B. Umeme wa magari (Auto electrical) katika vitendo na (Nadharia)
Mafunzo ya ufundi: kwa njia ya lugha ya Kiswahili bila masomo bebeshi yataendeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja baada ya hapo utafanya mtihani wa Chuo tu kwa ajili ya kupatiwa cheti cha kuhitimu mafunzo chuoni.
Ila unaweza kuomba kufanya Mtihani wa Taifa wa(FANI) na hii utaruhusiwa baada ya kuonekana rekodi zako za mahudhurio mazuri kimasomo na katika mitihani yako ya majaribio ya kila wiki kwa mwaka mzima, siyo vinginevyo.
Wakati wa kuanza uje na madaftari (2) aina ya Counter Book, Kalamu, Rula, Picha (3) Passport size.
ADA YA MASOMO KWA MWAKA NI TSH. 490,000/= tu
A. Mwanachuo anapoanza masomo zilipwe Tshs. 100,000/= ada ya awali, na
Tshs. 20,000/= za uniform na kitambulisho kwa mwaka mzima.
B. Pasipo kulipa malipo kamili ya Tsh. 120,000/= kama ilivyoelekezwa wakati wa kuanza masomo utalazimika kuijaza fomu ya mkataba ambayo utaigharamia Tshs 5000/= na utapewa muda wa siku saba kumalizia kiasi kilichobaki
C .Salio la kiasi cha Tsh. 390,000/= zitakuwa zinalipwa kwa awamu kisi cha
Tsh.17,000/=
kwa mujibu wa maelekezo ya fomu ya malipo
MAFUNZO YA UFUNDI KWA NJIA YA MFUMO WA CBET
Mafunzo ya ufundi kwa njia ya mfumo wa CBET (Kitaifa) yataendeshwa kwa lugha ya kingereza kwa kipindi cha miaka miwili ndipo utaruhusiwa kufanya mtihani wa Taifa. Hii nikutokana na maelekezo ya mtahala wa ufundishaji kitaifa (VETA) na ni lazima uyasome masomo bebeshi kama ifuatavyo:-
(i) Communication skills (ii) Engineering Mathematics (iii) Basic Automobile (iv)Engineering drawing (v) Computer application (vi) Engineering science (vii) Work shop Technology (viii) Direct Current Network (ix) English
Ada ya masomo kwa mwaka ni Tshs. 1,400,000/=
unapoanza zilipwe Tshs. 700,000/=salio la kiasi cha Tshs. 700,000/= zitalipwa kwa awamu kiasi Tshs. 70,000/= kila mwisho wa mwezi hadi mwisho wa malipo. Wakati wa kuanzia masomo ya ufundi uje na madaftari ya masomo yote yaliyohainishwa katika kipengele namba (4) na picha (3) passport size.
Ada ya masomo kwa mwaka ni Tshs. 1,400,000/=
unapoanza zilipwe Tshs. 700,000/=salio la kiasi cha Tshs. 700,000/= zitalipwa kwa awamu kiasi Tshs. 70,000/= kila mwisho wa mwezi hadi mwisho wa malipo. Wakati wa kuanzia masomo ya ufundi uje na madaftari ya masomo yote yaliyohainishwa katika kipengele namba (4) na picha (3) passport size.
MALIPO
Malipo yote yalipiwe katika Bank zilizoelekezwa,
hii ni kwa usalama wa fedha yako. Hakikisha unaandika jina la Mwanachuo katika
Pay - in slip ya Bank na uilete Chuoni kwa uthibitisho wa malipo. Bank zinazohusika ni:-
Pay - in slip ya Bank na uilete Chuoni kwa uthibitisho wa malipo. Bank zinazohusika ni:-
A. CRDB popote Tanzania Account Na. 01J1008454800 - Bruno Auto Training Centre
B. AKIBA Commercial Bank Tawi la Buguruni au popote. Account Na. 10200586487 - BRUNO V.T.C
Imechapishwa na bruno vocational training centre